UTUNDU WANGU HAUSHII KWENYE KUTUNGA MACHOMBEZO TU, HATA KUPOZI NAWEZA. IMETULIA EH!??
Friday, April 11, 2008
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Nimekuwa nikiandika machombezo yangu magazetini kwa siku nyingi sasa, najua kuna wengine wapo nje ya nchi, sehemu ambayo siyo rahisi kupata magazeti yetu. Sasa nakufuata huko huko, nikiendelea kukupa burudani kama kawaida. Karibuni sana na nawaahidi kuwawekea mambo mapya na makali kila siku.
No comments:
Post a Comment